DAR-Wanahabari wakongwe nchini Tanzania,Maulid Kitenge na Salim Kikeke wameeleza shauku yao ya kusubiri ripoti ya matukio ya wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29,mwaka huu.
Ripoti hiyo inatarajiwa kuwasilishwa mapema kesho mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan.
.jpeg)