DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba,2025 leo Aprili 23,2026 Ikulu jijini Dar es Salaam.
Ripoti hii inawasilishwa leo Mwenyekiti Jaji Othman Chande baada ya tume kukamilisha kazi yake.
