DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. Hamza S. Johari akifuatilia Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumuzi ya Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira).Mwanasheria Mkuu wa Serikali amehudhuria Bunge la 13, Mkutano wa 3,Kikao cha 13, Bungeni jijini Dodoma tarehe 21 April, 2026.
Tags
Bunge la Bajeti
Bunge la Tanzania
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
