Tumepokea ushahidi kwa Watanzania zaidi ya 63,000-Jaji Chande

DAR-Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyotokea Wakati na baada ya uchaguzi mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Othman Chande amesema kuwa, tume hiyo imepokea ushahidi kwa Watanzania 63, 603 kwa njia tofauti tofauti.
Jaji Chande amesema njia hizo ni mahojiano ya ana kwa ana watu 1,323, mashahidi wa viapo (Affidavit) watu 553, madodoso yenye maswali bila mtu kutaja jina lake ni 4, 891 na mikutano na makundi 202 na kwa njia ya simu na ujumbe mfupi ni watu 56,445.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here