DODOMA-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, leo Aprili 12, 2026 amefanya mazungumzo na Mabalozi wateule ofisini kwake Mlimwa, jijini Dodoma.

Pamoja na mambo mengine, Dkt. Mwigulu amewasisitiza umuhimu wa kuzingatia uzalendo katika majukumu yao kwa lengo la kulinda maslahi ya taifa.



