Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Tawala za Mikoa na Serikali za Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mhe. Florentino Kyombo, imetembelea na kukagua miradi ya Elimu, Afya na Barabara yenye gharama ya Shilingi bilioni 4,528,354,913 Wilaya Kinondoni.
Ziara hiyo iliyofanyika tarehe 23.06.2026, ililenga kujionea utekelezaji wa miradi ya maendeleo ndani ya Wilaya hiyo ikiwepo Mradi wa Shule ya Sekondari Tarimba Abbas iliyopo Kata ya Tandale, Barabara ya Berege iliyopo kata ya Makumbusho na Mradi wa Kituo cha Afya uliopo Kata ya Mikocheni.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo
































