Magazeti leo Mei 8,2026

Mbunge wa Viti Maalum Vyuo Vikuu, Selina Kingalame, amesema licha ya serikali kuongeza bajeti ya mikopo ya elimu ya juu hadi kufikia Sh bilioni 917, bado mahitaji ya wanafunzi ni makubwa.
Akichangia hotuba ya mapato na matumizi ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mei 07 bungeni jijini Dodoma, Kingalame amesema baadhi ya wanavyuo wanaopata mikopo hulazimika kutumia fedha za kujikimu maarufu kama 'boom' kulipa ada kutokana na kiwango cha fedha wanachopata kutokutosha.

Ameiomba serikali kuongeza uwezo wa utoaji wa mikopo ili kuwasaidia wanafunzi wa elimu ya kati na juu kumudu gharama za masomo na maisha ya chuoni.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here