Mjadala wa Bajeti ya Elimu 2026/2027:Viongozi wa Wizara wawasili bungeni
DODOMA-Viongozi wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia wakiongozwa na Waziri, Prof.Adolf Mkenda wamewasili bungeni kwa ajili ya kufuatilia mjadala wa bajeti ya Wizara hiyo leo tarehe 8 Mei 2026 bungeni jijini Dodoma.