Leo Juni 27,2026 katika Ukumbi wa Hoteli ya Johari Rotana jijini Dar es Salaam, Waziri wa Madini, Mheshimiwa Anthony Peter Mavunde anazindua rasmi Mkutano wa Saba wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini Tanzania (TMIC 2026): Tazama hapa chini mubashara;
