Magazeti leo Juni 7,2026

Zaidi ya wahitimu 450 wa Klabu ya Kupinga Rushwa Mkoa wa Temeke kutoka Chuo cha Diplomasia (CFR), Taasisi ya Uhasibu Tanzania (TIA) na Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Dar es Salaam (DUCE) wametunukiwa vyeti na kuaswa kusimamia haki, uadilifu, uwajibikaji na kuwa na ujasiri wa kusema ukweli katika mapambano dhidi ya rushwa.
Akizungumza Juni 6, 2026, jijini Dar es Salaam, kwa niaba ya Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Temeke katika mahafali ya kwanza ya wanachama wa Klabu ya Kupinga Rushwa Mkoa wa huo, yaliyofanyika DUCE, Mkuu wa TAKUKURU Kigamboni, Bibiana Bundala, amesema kuwa vita dhidi ya rushwa ni jukumu la kila mwananchi na si la TAKUKURU.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here