DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe.Hamza S. Johari amehudhuria kikao hicho kilichofanyika leo Juni 8,2026.
