DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Hamza S. Johari ameshiriki Bunge la 13, Mkutano wa 3, Kikao cha 50 cha Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania leo Juni 16,2026.
Vikao vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vinaendelea bungeni jijini Dodoma.
