DODOMA-Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Hamza S. Johari akifuatilia Hotuba ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2026/2027 katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma. Hotuba ya Bajeti Kuu ya Serikali imewasilishwa na Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb) Bungeni jijini Dodoma, tarehe 11 Juni, 2026.
Tags
Bajeti Kuu ya Serikali
Habari
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
