Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali yasogeza mbele tarehe ya Mafunzo Maalum ya Bespoken kwa Mawakili wa Serikali

NA DIRAMAKINI

OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imetoa taarifa kwa umma kuhusu mabadiliko ya tarehe ya Mafunzo Maalum ya Bespoke kwa mawakili wa Serikali.
Mafunzo hayo, ambayo awali yalipangwa kufanyika kuanzia tarehe 22 hadi 24 Juni 2026, sasa yamepangwa kufanyika kuanzia tarehe 15 hadi 17 Julai 2026 katika Kituo cha Mikutano cha AICC, Arusha.

Mabadiliko haya yamelenga kuhakikisha ushiriki wa juu na maandalizi bora ya mafunzo hayo muhimu kwa wataalamu wa sheria wa serikali nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here