Je, una suluhisho la kibunifu kwa Sekta ya Uchimbaji Mdogo?


Wizara ya Madini inawaalika wanafunzi wa Vyuo Vikuu kote nchini kushiriki katika shindano la kubuni teknolojia mbadala zinazoweza kupunguza au kuondoa matumizi ya kemikali ya zebaki na matumizi ya matimba katika uchimbaji mdogo.

Hii ni nafasi ya kuonesha uwezo wako wa ubunifu, kutoa suluhisho zenye manufaa kwa mazingira na jamii, na kuchangia maendeleo ya sekta ya madini nchini Tanzania.

Usikose fursa ya kubadili wazo lako kuwa sehemu ya mabadiliko yenye athari chanya.Shiriki sasa!.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here