Mhandisi Machibya Shiwa atembelea banda la TRC katika maonesho ya Tamasha la Kizimkazi

ZANZIBAR-Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC),Mhandisi Machibya Shiwa ametembelea Banda la TRC katika maonesho ya Tamasha la Kizimkazi yanayoendelea kisiwani Zanzibar.
TRC inashiriki katika tamasha hilo kwa lengo la kuelimisha wananchi kuhusu huduma zinazotolewa na shirika, miradi ya kimkakati inayotekelezwa, pamoja na fursa za uwekezaji zilizopo katika ushoroba wa reli.

Katika banda hilo, wananchi na wadau mbalimbali wanaendelea kupata elimu na taarifa kuhusu huduma za usafirishaji wa abiria na mizigo, huduma za kukata tiketi, pamoja na fursa zinazotokana na maendeleo ya sekta ya reli nchini.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here