IRINGA-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge Uratibu na Wenye Ulemavu) Mhe. Prof. Palamagamba Kabudi ameongoza viongozi wa mbalimbali katika ibada ya kumaliza msiba wa aliyewahi kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera Bunge Uratibu na Wenye Ulemavu Marehemu William Lukuvi.
Ibada hiyo ya Misa takatifu imefanyika leo tarehe 15 Agosti ,2026 kijijini cha Idodi Kata ya Idodi mkoani Iringa.







