Rais Dkt.Mwinyi amuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya,Dkt.Maryam Seif Hemed

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Wizara ya Afya, Dkt.Maryam Seif Hemed kufuatia uteuzi wake katika nafasi hiyo.
Hafla ya uapisho imefanyika leo Agosti 11,2026 Ikulu Zanzibar.

Hafla hiyo imehudhuriwa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla; Jaji Mkuu wa Zanzibar, Mhe. Khamis Ramadhan Abdalla; Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Dkt. Mwinyi Talib Haji; Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Ndg. Mansura Mosi Kassim, pamoja na viongozi mbalimbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Wengine waliohudhuria ni Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama, viongozi wa dini na wageni mbalimbali waalikwa.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here