Mume wa Rais Dkt.Samia afariki

NA DIRAMAKINI

MUME wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan ambaye ni Mheshimiwa Hafidh Ameir Hassan amefariki dunia.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Septemba 7,2026 na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Deogratius Ndejembi wakati akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye amefariki leo.
Kifo hicho kimetokea majira ya saa mbili asubuhi katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa moyo.

Aidha, mipango ya mazishi na maziko inaendelea kufanyika nyumbani Kizimkazi Zanzibar.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here