ZANZIBAR- Muhubiri na Mwinjilisti wa Kimataifa ambaye pia ni Mkurugenzi wa Penuel Radio, Dkt. Alphonce Boniface Temba (kulia kwa Rais) akiwa amejumuika na viongozi wa dini mbalimbali kumuombea na kumfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan kufuatia kifo cha mume wake, ndugu Maalum Hafidh Ameir Hassan.
Maombi hayo yamefanyika leo nyumbani kwa Mheshimiwa Rais Dkt.Samia huko Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar.
Tags
Dr Alphonce Boniface Temba
Dr Samia Suluhu Hassan
Habari
Hafidh Ameir Hassan
Maalim Hafidh Ameir Hassan
Picha
Picha Chaguo la Mhariri

