Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali amfariji Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan

ZANZIBAR-Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Samwel M. Maneno akimfariji Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kuwasili nyumbani kwake Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 10 Septemba,2026 kufuatia kufiwa na mume wake marehemu Maalim Hafidh Ameir Hassan aliyefariki dunia katika Hospitali ya Kumbukumbu ya Emilio Mzena Zanzibar tarehe 7 Septemba,2026.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here