KAMATI ya Uteuzi iliyoanzishwa kwa mujibu wa Ibara ya 129 (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977, ilitangaza kupitia vyombo vya habari, kuhusu kuwepo nafasi wazi za Makamishna wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora na kualika watanzania wenye sifa kuomba nafasi hizo.
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mheshimiwa Samwel Maneno ambaye pia ni Katibu wa Kamati ya Uteuzi.Kufuatia tangazo hilo, Kamati ya Uteuzi inaufahamisha umma kuwa ilipokea maombi na kufanyiwa uchambuzi kwa mujibu wa sheria.
Hivyo inapenda kualika umma kuwasilisha maoni kuhusu mwombaji yeyote aliyepo kwenye orodha ya tangazo hili iwapo anastahili kushika nafasi ya Mwenyekiti, Makamu Mwenyekiti, Makamishna na Makamishna Wasaidizi wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora.
Maoni hayo yawasilishwe kwa Katibu, Kamati ya Uteuzi, Mtaa wa Utumishi, Mji wa Serikali Eneo la Mtumba, S. L. P. 1954, Dodoma, au barua pepe: kamati.uteuzi@oag.go.tz
Mwisho wa kupokea maoni hayo ni tarehe 21 Oktoba, 2026. Orodha ya waombaji ni kama ifuatavyo: -
A: MWENYEKITI
1. John Samwel Mgetta
2. Dunford George Mpelumbe
3. Sia Benison Mawalla
4. Rashida Ahmed Suleiman
5. Abdulrahim Salim Malelemba
6. Elia Yotham Baha
B: MAKAMU MWENYEKITI
1. John Samwel Mgetta,
2. Nicholaus George Ngassa
3. Omar Ali Omar
4. Tatu Ali Mtumwa
5. Thabit Abdulla Juma
6. Tekla Paul Mlyansi
C: KAMISHNA
1. Dunford George Mpelumbe
2. Sia Lizarine Benison Mawalla
3. Patricia John Boshe
4. Gidion Kaino Mandesi
5. Rwezaula Kaijage Ladislaus
6. Abdulrahim Salim Malelemba
7. Riziki Thomas Mashaka
8. Ameir Ali Ameir
9. Joanitha Florence Mutayoba
10. Gloria Kashununu Kalabamu
11. Barnabas Pascal Nyalusi
12. Benedict Maige Nchalla
13. Elia Yotham Baha
14. Haika Harrison Ngowi
15. Moses Matiko Misiwa
16. Veronica John Wagunya
17. Rashida Ahmed Suleiman
18. Frank John Mchomvu
19. Petro Tulla Ntemi
20. Hilmar Alex Danda
21. Gloria Baltazari Kaaya
22. Tekla Paul Mlyansi
23. Omar Ali Omar
24. Richard Frankline Mbaruku
25. Philomena Stanslaus Mwalongo
D: KAMISHNA MSAIDIZI
1. George Zachayo Mollel
2. Abdalla Yahya Lada
3. Harusi Miraji Mpatani
4. Makame Mahmoud Khamis
5. Gladness Sylvester Hemedi
6. Baraka Paschal Makona
7. Innocent John Kisigiro
8. Jamhuri David William
9. Thabit Abdulla Juma
10. Vicent Bartholomew Mtavangu
11. Time Asaa Khamis
12. Godfrey Samwel Ngangaji
13. Hidaya Sneda Haonga
14. Omar Ali Omar
15. Ally Seif Ramadhan
16. Tatu Ali Mtumwa
17. Mwita John Mwita
18. Rachel David Kuyunga
Imetolewa na;
NAIBU MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI
KATIBU
KAMATI YA UTEUZI
Tags
Habari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Nafasi Tume ya Haki za Binadamu
Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali


