ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt. Hussein Ali Mwinyi leo Ijumaa, Novemba 6, 2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kwamba, mkono unaomuinua mwenye shida ni mkono unaopanda mbegu ya baraka.
