Soma habari zote muhimu leo Jumapili, Novemba 1, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Mwanaspoti, Mzalendo na mengineyo kila siku bila malipo.
Gazeti la Mwananchi leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Sakata la mashangingi, Bunge labebeshwa zigo, Mshahara sekta binafsi Zanzibar wapaa kutoka Sh347,000 hadi Sh450,000, na Muhoozi naye ataka suluhu na Besigye, ampa dhamana.
Gazeti la Nyakati toleo Na. 1304 la leo Jumapili, Novemba 1-7, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Mchungaji atambulisha mke wa pili kanisani, Mke wa kwanza amwita dada katika ndoa, Nani anayeongoza Kanisa Katoliki wakati Papa Leo XIV anapougua, na Treni ya SGR Tabora-Kigoma kubadili maisha ya Watanzania.
Gazeti la HabariLeo Jumapili leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Wabunge: Rasilimali zituletee utajiri, Wanafunzi watatu wafa kwa kugongwa na lori, na Samia kufungua mkutano wanawake maziwa makuu kesho.
HabariLeo michezo leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Yanga, Kagera Sugar hesabu tofauti Bara, Coastal Union, Dodoma Jiji zatoshana nguvu, na Mzize, Job warejeshwa Taifa Stars.
Gazeti la Zanzibar Leo Jumapili leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Dk. Mwinyi akaribisha wawekezaji Korea, Serikali yatangaza kima cha chini mshahara sekta binafsi, na Serikali itaendelea kuthamini mchango wa vyombo vya habari - Dk. Pembe.
Zanzibar Leo michezo leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Abdulghulam kusaidia kutafuta wadhamini Ligi ya Wavu Zanzibar, Uhamiaji FC yatimua makocha watatu, na Yanga, Kagera Sugar vitani leo NBCPL.
Gazeti la Nipashe Jumapili leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Siku mbili za Ndejembi zilivyowatikisa vigogo, Atolewa uvimbe wa kilo 20 kwenye mfuko wa uzazi, na Bingwa ataja sababu nne za ujauzito kuharibika.
Nipashe michezo leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Yanga SC, Kagera mechi ya hesabu, na Kapombe: Simba sasa haikamatiki.
Gazeti la Mwana Spoti leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Vigingi 6 vya Ramovic Yanga, Ugumu wa Dube Simba, na Man Utd inahitaji maombi.
Gazeti la Mzalendo leo Jumapili, Novemba 1-7, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Waziri wa Nyerere afunguka, na Netanyahu alalama wapinzani kuiba kura.
Gazeti la Mwananchi Huru leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni ZHSF yasaini MoU na hospitali ya Shifaa, na TEA, UNICEF wajenga vyoo 23 shule ya Mtangani Pemba.
Gazeti la Biashara Leo leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Amani ya Tanzania yazidi kuvutia mataifa duniani, na Hospitali ya Shifaa, ZHSF waingia makubaliano.
Gazeti la Dira ya Mtanzania leo Jumapili, Novemba 1, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ukurasa wa mbele ni Sh. bilioni 50 kuwanufaisha wachimba madini Songwe, 'Made in Tanzania' kwenda kubadilisha - Sera Mpya Viwandani, na Rais Mwinyi: Tuna nafasi nzuri kuwa kitovu cha biashara na uwekezaji.










