Soma habari zote muhimu leo Oktoba 30, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Majira, Mwanaspoti, Uhuru na mengineyo kila siku bila malipo.
Mwananchi leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni ‘Yasitokee tena’, na Tanzania, Angola zachangamkia fursa kimkakati. Wabunge wachachuka na barabara, utitiri wa tozo kuliza raia. Ulega: Haki si kwa matajiri, bali ni kwa kila mwananchi.
Majira leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Kumekucha NeST, na Tanzania, Angola kuimarisha ushirikiano wa usafiri, biashara.Kwa upande wa michezo, Simba yaendeleza ubabe Ligi Kuu Bara.
HabariLeo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania, Angola kiuchumi zaidi - Rais Dk Samia ataja maeneo ya kipaumbele kukuza biashara, uwekezaji, na Wabunge wataka PPP iimarishie kilimo.HabariLeo Michezo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba, Singida BS zatamba, TRA yabanwa nyumbani, na Wawakilishi kimataifa watangaza vita makundi.
ZanzibarLeo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Zanzibar mwenyeji jukwaa la ITOP2027 - Dk Mwinyi akabidhiwa bendera, na Zanzibar, Jeju zabainisha maeneo ya ushirikiano.
ZanzibarLeo Michezo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ujenzi uwanja wa Afcon Fumba wafikia asilimia 87, na Mangungu ataka katiba ifuatwe uchaguzi Simba.
Nipashe leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Upekee Mji wa Serikali Mtumba - Pori lililofyekwa, sasa lageuzwa sura ya jiji lenye mpangilio, huduma zote kutolewa eneo moja, kuondoa usumbufu kwa wananchi, na Tanzania, Angola zakubaliana mambo muhimu ya kimkakati.
Nipashe Michezo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Yanga yaona ugumu CAF, na SIMBA MWENDO ULE ULE.
Tanzania Leo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Samia alianzisha Ushoroba Lobito - Utaunganisha Bandari ya Dar es Salaam na Bahari ya Atlantiki, na Dkt. Samia kuandika historia Mtumba leo.
Spoti Tanzania Leo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni De Reuck aibeba Simba - Afunga bao, abeba tuzo mchezaji bora, na Yanga SC yaapa kupindua msimamo Ligi Kuu Bara.
Taifa Tanzania leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Dk. Samia avunja mwiko wa miaka 47 - Rais wa mwisho wa Angola kufanya ziara nchini ni mwaka 1979, na NeST yaokoa Sh. Bil. 28 yawezesha zabuni za Trilioni 42.6.Taifa Tanzania Michezo leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba haitanii, yautaka ubingwa yashinda michezo 9 kati ya 15 mzunguuko wa kwanza, na Mangungu aipinga Kamati ya Uchaguzi, asema mabadiliko ya uwekezaji ni batili.
Mwana Spoti leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ni gusa achia twende kwao - Viongozi Yanga SC wakaa vikao kibao, na Mangungu aja na hoja uchaguzi Simba.
Sauti Yetu leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania, Angola zakubaliana kuimarisha maeneo ya Uchumi, na Mfumo T-CAMS wapata ahueni Wanachama TAFFA waridhia. Ado Shaibu, Askofu Pisa wazungumzia Katiba mpya.
Dira ya Mtanzania leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania kufungua tena Ubalozi Luanda, na Rais Samia na Lourenço wakubaliana kuunganisha reli ya Benguela na TAZARA. Ulega: Haki si ya matajiri pekee.
Mwananchi Huru leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni PPRA yajivumia mafanikio kwenye mfumo wa NeST, na Mkutano Mkuu Maalum wa TAFFA waridhia mfumo wa T-CAMS. UNICEF, TEA wawezesha miundombinu ya shilingi bilioni 2.5 Unguja na Pemba.
Tanzania Yetu leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania, Angola kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi, na Mfumo wa Nest watoa zabuni 403,643 za thamani ya Tril 42.6. Mwigulu apigia chapuo Nishati Safi ya kupikia nchini Urusi.Mtazamo Mpya leo Ijumaa, Oktoba 30, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Rais Dk. Samia, João Lourenço wapita njia ya Nyerere na Neto, na NEST yaimarisha uzingatiaji sheria ya ununuzi. Msaada wa kisheria ni daraja la wananchi kupata haki - Waziri Ulega.









