Magazeti ya Tanzania leo Oktoba 29, 2026

Soma habari zote muhimu leo Oktoba 29, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Majira, Mwanaspoti, Uhuru na mengineyo kila siku bila malipo.
WATANZANIA leo habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Kikosi kazi kipya cha Rais Samia chavutia wengi, Mtanzania alazimishwa kujiuza Thailand, Raia wa Kigeni auawa kwa kipigo, Siri yafichuka tuzo kupewa IFC, Lissu kukosa na Mwigulu apiga nondo za uchumi ughaibuni.
Zanzibar Leo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Dk. Mwinyi: ITOP ilete matokeo yanayoonekana, Katambi: kulinda umoja wa taifa ni wajibu wa kila Mtanzania na Balozi Omar ahimiza ubunifu kwa wahitimu.

Zanzibar Leo Michezo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba, Yanga zapangiwa wapinzani wagumu CAFCL, Azam FC, Singida BS ndani ya nyumba CAFCC na KVZ, JKU zatamba Ligi Kuu Wavu.
HabariLeo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Tanzania yaandika historia mafuta, gesi, Mpango wa Maendeleo 2027/28 'usipime' na Katambi: Watanzania msirudie makosa ya Oktoba 29.

HabariLeo Michezo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba, Yanga kazi ipo Afrika, Simba, Fountain Gate kisasi na Kocha Yanga alia na safu ya ulinzi.
Tanzania Leo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Samia ashuhudia nguvu ya vijana, Tril. 89.3/- kutekeleza Mpango wa Maendeleo Mwaka 2027/2028 na Samia atengua uteuzi wa RC Beno Malisa.

Spoti Tanzania Leo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba, Yanga wapangwa kundi gumu Caf, Azam FC, Singida BS nao wana kibarua na Barker aongeza utamu Simba SC.
Taifa Tanzania leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ndejembi: wawezesheni vijana wanufaike miradi ya mafuta na gesi, Dk. Mwinyi atafuta suluhu ya kudumu tatizo la umeme Zanzibar na Balozi Omar awataka wahitimu TIA Zanzibar kuwa chachu utatuzi changamoto kuelekea Dira 2050.

Taifa Tanzania Michezo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mashabiki waikatia tamaa Yanga Ligi ya Mabingwa, matumaini yapo kwa Simba, Azam FC na Singida BS FC zataja mipango ya kutinga Robo Fainali 'CCC' na Jihan Dimack atua bungeni Dodoma: Makonda afunguka TZ kuandaa Miss World kwa miaka 3 mfululizo.
Wamachinga leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Samia amtengua Benno Malisa, Rais Lourenço wa Angola atua nchini na SELF Microfinance yazidi kuimarika Dira 2050.

Wamachinga Spoti leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba, Yanga makundi ya kifo CCL, Simba, Fountain Gate uwanjani leo na Novatus azidi 'kutupia' Uturuki.
Mwananchi leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Samia: simamieni maadili, Wadau: matokeo Tume ya Jaji Lila yajenga umoja, si mpasuko na Mpango wa Taifa 2027 kubebwa na sekta binafsi.
Mwana Spoti leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Wakubwa kwa wakubwa, Azam, Singida kazi ipo na Yanga SC kutimkia Zanzibar.

Vichwa vingine: Simba mzigoni leo, Supercomputer yaivua Arsenal ubingwa EPL na Ligi Kuu Bara leo Alhamisi: TRA vs Geita Gold saa 10:00 jioni.
NIPASHE leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Katambi aonya, Mamlaka za maji nchini zajiendesha kwa hasara na Mchengerwa atoa maelekezo usajili waliosoma nje.

NIPASHE MICHEZO leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Yanga na 'Waarabu', Simba, Berkane tena, Mzize aelezea bao baada ya miezi 16 na Barker: tutaendeleza 'dozi'.
Sauti Yetu leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ndejembi aagiza vijana waandaliwe fursa miradi ya Mafuta na Gesi, MAMCU LIMITED yawafunda Madiwani wa Morogoro mfumo stakabadhi ghalani na Balozi Omar: Wahitimu TIA wawe chachu utekelezaji Dira 2050.
Mwananchi Huru leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Self Microfinance yamshukuru Rais Samia kwa kuiwezesha, Waziri Omar ahimiza wataalamu TIA Zanzibar kutokuwa walalamikaji na Self Microfinance yafanikiwa kupata faida ya shilingi bilioni 319 baada ya kodi.
Mtanzania Leo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Waziri Sangu afurahishwa na uwekezaji wenye faida PSSF, Makamu wa Rais Ndejembi ashuhudia utiaji saini leseni za mafuta na gesi na Balozi Omar awapa changamoto wahitimu wa TIA Zanzibar.
Tanzania Yetu leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Vijana wapewe kipaumbele fursa za mafuta, gesi-Ndejembi, CHADEMA yateta na wabunge wa Ujerumani kuhusu demokrasia, haki za binadamu na Self Microfinance yatoa mikopo Bil.138, yatengeneza ajira zaidi ya 262,624.
Biashara Leo leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Balozi Omar awafunda wahitimu TIA Zanzibar, Self Microfinance Fund yampongeza Rais Samia kwa kuipiga jeki na Kampuni ya Mwanza Rock City Ltd yatoa gawio la shilingi bil. 1.07 kwa PSSF.
Dira ya Mtanzania leo Alhamisi, Oktoba 29, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Ndejembi: Mafuta na gesi muhimu kufanikisha Dira ya Taifa 2050, SELF yatoa mikopo shilingi bil. 138.28 na Waziri wa Fedha: Wahitimu TIA mtatue changamoto, msilalamike.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here