Magazeti ya Tanzania leo Novemba 2, 2026

Soma habari zote muhimu leo Jumatatu Novemba 2, 2026 kutoka katika magazeti makubwa ya Tanzania kama Mwananchi, Majira, HabariLeo, Nipashe, Zanzibar Leo, Mwanaspoti na mengineyo kila siku bila malipo.
Gazeti la Rada leo Jumatatu, Novemba 2-8, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni DP World hoi, Chacha awekwa 'korokoroni', Kampuni ya Superdoll yakimbia waandishi wa habari.
Gazeti la Pambazuko leo Jumatatu, Novemba 2-8, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Lissu katikati ya uhai, kifo, Maziko kaka wa Lissu kusubiri hukumu na UN yashangaa ukimya wa serikali kwa waliosababisha mauaji Okt 29.

Gazeti la Majira leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Waziri Mkuu ataka mpango wa kuimarisha ushirikiano kati ya Serikali na taasisi za dini, Kaka yake Lissu kuzikwa baada ya hukumu Ijumaa na Wakulima wa korosho watakiwa kuzingatia ubora.

Majira Michezo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba kuendeleza ubabe wake leo kuikaribisha Namungo kwa Mkapa, Rivera aita jeshi lake kuji Winda na michezo miwili na Tanzania kuifanya AFCON kwa viwango vya juu.
Gazeti la Wamachinga leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Familia yatoa masharti ya mazishi kifo kaka wa Lissu, Katibu Mkuu UVCCM awataka viongozi kusimamia masilahi ya vijana na Wajasiriamali milioni 16 kulengwa sera mpya.

Gazeti la Wamachinga Spoti leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Yanga yaendeleza vipigo NBC yaichapa Kagera Sugar 4-0 KMC, Katibu CAF atoa pongezi maandalizi AFCON na TFF kutia mkono uchaguzi Simba.
Gazeti la Raia Mzalendo leo Jumatatu, Novemba 02, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni AFCON yachochea mapinduzi ya huduma za afya JKCI, Global Medicare yaongeza nguvu ya uwekezaji teknolojia tiba JKCI, TANROADS Mbeya yatekeleza maagizo ya Makamu wa Rais na Kliniki ya kodi Kilombero yaleta tabasamu kwa walipakodi.
Gazeti la Biashara Leo leo Jumatatu, Novemba 02, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni AFCON 2027 kuacha alama ya uwekezaji wa afya JKCI, JKCI yajenga urithi wa afya kuelekea mashindano hayo 2027, ALMC Arusha kuwa Smart Hospital na Spika Zungu amshukuru Rais Samia kwa kufanikisha mkutano wa IPU Arusha.
Gazeti la Mwananchi Huru leo Jumatatu, Novemba 02, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni JKCI yaweka teknolojia mbele maandalizi ya AFCON 2027, Yajipanga kwa huduma za AI, MRI, CT Scan, Cath Lab na Wafanyabiashara 465 wanufaika na kliniki ya kodi TRA Morogoro.
Gazeti la Mtanzania Leo leo Jumatatu, Novemba 02, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Global Medicare yaongeza nguvu uwekezaji JKCI, Yashirikiana JKCI kuimarisha Hospitali ya JKCI-ALMC Arusha na Kliniki ya kodi Kilombero yatatu changamoto za walipakodi 465.
Gazeti la Taifa Kwanza leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Karibu Bandari Salama, Maelfu ya wakazi wa Jiji la Dar es Salaam kumpokea Makamu wa Rais Mh. Deogratius Ndejembi, Rais Dkt. Mwinyi azindua Jarida la Tanzanite Korea Kusini, Qeen Sendiga aivalia njuga migogoro ya ardhi Morogoro na Pwani walivyoguswa na msaada wa kisheria wa Dkt. Samia.

Gazeti la Taifa Kwanza Michezo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mtafaruku Simba SC watishia kuivuruga timu, Yanga yaapa kutoboa makundi na Mifaruku inaoyendelea ndani ya klabu ya Simba SC.
Gazeti la HabariLeo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mwigulu: Utunzaji mazingira si siasa, Ahimiza kukabili tabianchi, mchango wa taasisi za dini, Malasusa abana wazazi kukithiri ulevi, mauaji na Jamii yahadharishwa shinikizo upasuaji wa urembo.

Gazeti la HabariLeo Michezo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni TFF yajitosa 'mazima' uchaguzi Simba, Kane alishinda Ballon d'Or 'kiduchu', Polisi yaizamisha Geita Gold na Tanzania yatota Olimpiki Vijana.
Gazeti la Zanzibar Leo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Dk. Mwinyi: Ongezeni juhudi kutangaza fursa za kiuchumi, Azindua jarida la Tanzanite, Kitwana akerwa na udanganyifu ujazaji fomu za maadili na Misingi ya dini itawajenga wanawake kimaadili - Dk. Pembe.

Gazeti la Zanzibar Leo Michezo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni CAF yaridhishwa ujenzi uwanja Fumba AFCON, TFF yabariki uchaguzi mkuu Simba, Serikali kuongeza hamasa michezo ya sherehe za Mapinduzi na Gamondi ataja wakali wa kuivaa Super Eagles.
Gazeti la Za Spoti leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni TFF yabariki uchaguzi mkuu Simba, CAF yaridhishwa ujenzi uwanja Fumba AFCON, Arsenal sasa yamuwinda Endrick na Man. U yafikiria kumsajili Toney.
Gazeti la Mwana Spoti leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Uchaguzi Simba upo palepale! Dosari tatu zatajwa, TFF yaibuka, Mtunisia aitaja Yanga CAF, Clement Mzize aibua hofu, Karia: Tuko vizuri AFCON na Man Utd ina cha kujifunza Arsenal.
Gazeti la Mwananchi leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Hoja ya barabara mjadala wa moto, Sh10 trilioni kiasi cha fedha ambacho Serikali imeshauriwa kukopa kwa ajili ya kupanua barabara na kuongeza Kiuchumi, Njaa, mazingira hatarishi kitanzi kwa wanafunzi 'geto' na Hukumu ya Lissu yabeba hatima ya mazishi ya Alute.
Gazeti la Tanzania Leo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Samia hashikiki uibuaji mabilionea, Dkt. Samia avunja ukimya kwa watumishi wa umma na Dkt. Mwigulu aagiza ushirikiano wa serikali, taasisi za dini kielimu.

Gazeti la Tanzania Leo Spoti leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Yanga SC yaipumulia Simba, Gamondi afyeka mastaa Stars na Simba SC yaihifia Namungo FC.
Gazeti la Nipashe leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Wiki ya Lissu, Malasusa, ACT wachora ramani ya maridhiano na Mbowe ageukia ujenzi makanisa.

Gazeti la Nipashe Michezo leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba SC yaitaka rekodi ya 2009/10 na Yanga SC: Tuna kisasi na MC Alger.
Gazeti la Uhuru leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Mwigulu ampa jukumu Waziri Profesa Mkenda, Rabia: Walioitakia mabaya Tanzania sasa wameumbuka na Uwekezaji waboresha huduma za matibabu.

Gazeti la Uhuru Spoti leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Simba, Namungo ni vita ya hesabu, Yanga yaendeleza ubabe NBC na TFF yaingilia kati uchaguzi Simba SC.
Gazeti la Sauti Yetu leo Jumatatu, Novemba 2, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Lema agusia maridhiano, ACT yataka Ukweli, Haki na Uwajibikaji na Dk. Mwigulu ataka mpango mkakati kuimarisha uhusiano na taasisi za dini.
Gazeti la Taifa Tanzania leo Jumatatu, Novemba 02, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Dk. Mwigulu: Serikali na taasisi za dini zishirikiane sekta ya elimu, Uchina yaandaa maonyesho ya uagizaji bidhaa na Tanzania kuwa kitovu cha mazao ya mbogamboga na matunda.

Taifa Tanzania Michezo leo Jumatatu, Novemba 02, 2026 habari kuu zilizopewa kipaumbele ni Juma Mgunda: Utakuwa mchezo mgumu, Simba wasema wapo tayari, Kilio cha Ndegesela Msasa mbele ya RPC: Miezi 5 mgodini bila mwanamke kazi ngumu na TRA United yavizia pointi 3 Sheikh Amri Abeid.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here