Habari STAMICO,KOMIR ya Korea waingia makubaliano kuendeleza madini ya kimkakati nchini SEOUL-Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) leo Juni 4, 2024 limesaini hati ya makubaliano (MoU)…