Tuliteseka sana kufanya biashara katika mazingira yasiyo rafiki,tunamshukuru Rais Dkt.Samia kwa kumtuma Waziri Mkuu Dkt.Mwigulu kuja Kibakwe kutufungulia soko letu jipya la mazao
DODOMA-Wananchi wa Kibakwe mkoani Dodoma wameishukuru Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongoz…