Liverpool yaparuliwa kwa mijeledi 7 kutoka Aston Villa

Mashabiki wa Liverpool wamesononeka baada ya timu yao kuruhusu magoli nusu dazeni na nyongeza moja juu.
Kipigo hicho cha mwaka au pengine zaidi ya miaka kimetoka Aston Villa ambapo matokeo yamekuwa 7-2.

Ni katika mchezo wa Ligi Kuu Soka England ambapo anakuwa  bingwa mtetezi wa kwanza kufungwa goli saba.

Matokeo yapo hivi Watkins 4’ 22’ 39’ McGinn 35’ Barkley 55’ Grealish 66’ 75’ na Salah 33’ 60’ ndani ya Villa Park.

Post a Comment

0 Comments