Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji BASATA wawasili Dar


Mwili wa aliyekuwa Katibu Mtendaji wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA),Godfrey Mngereza, tayari umewasili uwanja wa ndege wa Julias Nyerere International Airport tayari kuelekea nyumbani kwa Marehemu Kibamba, Luguruni jijini Dar es salaam.

Post a Comment

0 Comments