Mrithi wa Ndugai nafasi ya Spika kujulikana hivi karibuni

NA MWANDISHI DIRAMAKINI

KATIBU wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amesema amepokea nakala ya barua kutoka kwa Job Ndugai ya kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge aliyompelekea Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambacho kilimdhamini alipogombea nafasi hiyo.
Katibu huyo wa Bunge amesema, taarifa kuhusu taratibu za uchaguzi kwa ajili ya kujaza nafasi ya Spika zitatolewa baadaye.

Post a Comment

0 Comments