Waziri Mhagama atoa maelekezo TASAF

MHESHIMIWA Waziri Jenista Mhagama ameielekeza TASAF kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu) ili kuwapatia ujuzi walengwa wa TASAF waliokosa ufaulu wa kuendelea na masomo

Post a Comment

0 Comments