Mteule katika nafasi ya kuwania ubunge wa Jimbo la Kusini Mashariki Morogoro, Hamis Shaban Tale Tale (Babu Tale) akiwa na Mgombea mwenzie wa Jimbo la Kusini Morogoro, Inocent Edward Karoglesi huku wakiwa wamesindikizwa na wananchi na wanachama wa CCM kwenda kuchukua fomu za uteuzi kutoka tume.
![]() |
| Msafara |
![]() |
| Msafara |
![]() |
| Safari imeanza |
Tags
Siasa


