HASUNGA ACHUKUA FOMU KUWANIA UBUNGE CCM JIMBO LA VWAWA

WAZIRI wa Kilimo, Japhet Hasunga amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kuwania ubunge Jimbo la Vwawa mkoani Songwe kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) mwaka 2020-2025.

Waziri Hasunga amekabidhiwa fomu hiyo Agosti 21, 2020 na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi,Hanji Godigodi ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbozi.

Waziri wa Kilimo, Japhet Hasunga akionyesha fomu ya kuomba kuteuliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ili kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mara baada ya kukabidhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi, Hanji Godigodi Agosti  21,2020.

Waziri Japhet Hasunga akikabidhiwa fomu ya kuomba kugombea ubunge kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi na Msimamizi wa Uchaguzi Wilaya ya Mbozi, Hanji Godigodi Agosti 21, 2020.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here