Kampeni ya Mlango kwa Mlango ya TRA yashika kasi Kigoma
Afisa wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Bwana Justine
Shoo (kulia) akimpa mfanyabiashara wa eneo la SIDO mkoani Kigoma elimu ya kodi kuhusu
umuhimu wa kutunza kumbukumbu za biashara wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi ya Mlango kwa Mlango inayoaendelea mkoani hapo. Picha na TRA/Diramakini.
Afisa Mkuu Msimamizi wa Kodi wa Mamlaka ya Mapato Tanzania
(TRA), Bwana Julius Mjenga (kulia) akimpa mfanyabiashara wa eneo la SIDO mkoani
Kigoma elimu ya kodi kuhusu umuhimu wa utoaji wa risiti za kodi za
kielektroniki (EFD) wakati wa Kampeni ya Elimu kwa Mlipakodi (Mlango kwa
Mlango) inayoaendelea mkoani hapo. Picha na TRA/Diramakini.Je, una habari,maulizo au tangazo? Tuwasiliane; diramakini@gmail.com