![]() |
| Mwamba..hii sifa au?..twende ninawaonyesha tofauti yetu... |
![]() |
| Hapa haupenyi Mwamba, nipo imara! au unabisha?.. |
![]() |
| Kumbe wote tupo imara hivi, Duh? Hii sasa ni maliza kazi, tukianza msimu wa Ligi Kuu itakuwaje.. |
![]() |
| Wapi tena hiyo mwamba wangu, hii sasa umedhamiria kuwaliza... |
Tags
Michezo




