Maelfu ya wananchi wakiwa wamemsimamisha Mgombea Mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Salim Mwalimu katika mji wa Karatu leo Septemba 15, 2020 wakati akielekea katika Kijiji cha Basodawish wilayani Karatu kwa ajili ya kumuombea kura Mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu ambaye yupo Nyanda za Juu Kusini akiendelea kuomba kura kuelekea Oktoba 28, mwaka huu.
Tags
Siasa