![]() |
| MKURUGENZI MTENDAJI WA HALMASHAURI YA WILAYA YA IRAMBA ANAKARIBISHA MAOMBI YA KAZI KWA WANANCHI |
1. MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III NAFASI 8
a) Sifa za mwombaji. Mwenye elimu ya kidato cha nne (IV) au sita aliyehitimu mafunzo ya Astashahada/Cheti katika moja ya fani zifuatazo.
Utawala, Sheria, Elimu ya Jamii, Usimamizi wa fedha, Maendeleo ya Jamii na Sanyansi ya Sanaa kutoka Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo, Dodoma au Chuo chochote kinachotambuliwa na Serikali.
b) Kazi na majukumu..Bofya hapa kuona zaidi
WAKATI HUO HUO SHIRIKA LA RELI TANZANIA (TRC) LINATANGAZA NAFASI MBALIMBALI ZA KAZI, ili kufahamu ni kazi ya aina gani ambayo inaweza kukufahamu kulingana na taaluma yako Bofya hapa kuona orodha kamili.
Diramakini Business Limited (www.diramakini.co.tz) tunapokea habari na matangazo saa 24, wasiliana nasi kupitia (diramakini!@gmail.com).
