KATIBU Mkuu wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE), Hery Mkunda amesema kumekuwa na changamoto ya kimaadili kwa baadhi ya watumishi wa umma, hususan wanapokuwa wakihudumia wananchi na kusisitiza kuwa chama hicho kina jukumu la kuendeleza usimamizi wa maadili kazini.

Mkunda amesema hayo Desemba 4, 2025 wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa TUGHE uliofanyika mkoani Dodoma.









Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo









