WAKULIMA wa Korosho kupitia Chama Cha Ushirika Cha Mtwara, Masasi na Nanyumbu (MAMCU) mkoani Mtwara wameingiza shilingi bilioni 207 katika mauzo ya korosho ghafi tani 82 katika minada ya korosho inayoendelea nchini msimu 2025/2026.


Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo


























