Home Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 kuanzia saa 3 usiku wa leo Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Nchini (TMA), mvua na ngurumo zinatarajiwa katika maeneo machache ya Ukanda wa Ziwa Victoria. Facebook Twitter