Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Septemba 27,2020
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo yanayozunguka Ziwa Victoria yanatarajiwa kuwa na hali mawingu
kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.