













Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. John Pombe Magufuli Oktoba 13, 2020 ameshuhudia Kampuni ya Twiga Minerals na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) likitoa gawio la zaidi ya shilingi Bilioni 100 kwa Serikali kutokana na faida katika biashara ya madini .