Wizara ya Maji yafanya mapitio ya mwongozo wa uendeshaji wa mamlaka na usafi wa mazingira


Mkurugenzi Msaidizi wa Utoaji Huduma, Wizara ya Maji Mhandisi Lydia Joseph akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro Oktoba 13, 2020 mjini Morogoro.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara ya Maji cha mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro.

Mwanasheria wa Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka (aliyesimama) akichangia mada wakati wa kikao kazi cha wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro.
Mwanasheria wa Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka akichangia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro.(Picha na Happiness Shayo-Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here