Utabiri wa hali ya hewa Novemba 12,2020

  Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo Novemba 12, 2020 unaletwa na mchambuzi, Tunza Saanane wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).

 

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), maeneo mengi ya nchi yanatarajiwa hali ya mvua na vipindi vya jua.

Post a Comment

0 Comments