Magazeti leo Agosti 20,2026

SERIKALI imeonya kuwa mtu au taasisi itakayobainika kuharibu au kutenda kosa dhidi ya Miundombinu Muhimu ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (CII) atakabiliwa na adhabu kali kwa mujibu wa Sheria ya Makosa ya Mtandao ya mwaka 2015.
Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Angellah Kairuki, amesema hayo Jumatano Agosti 19, 2026 jijini Dar es Salaam ambapo ameeleza kuwa, kwa mujibu wa Kifungu cha 29 cha Sheria hiyo, mhusika anaweza kutozwa faini isiyopungua Shilingi milioni 100, au mara tatu ya hasara iliyosababishwa, au kifungo kisichopungua miaka mitano.

Amesema adhabu hizo zinaweza pia kutolewa kwa pamoja, ikiwemo faini na kifungo, kulingana na kosa lililofanyika dhidi ya CII.






Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here