Utabiri wa hali ya hewa Novemba 14, 2020 'MVUA KUBWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 14,2020 unaletwa na mchambuzi Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
ANGALIZO

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua kubwa inatarajiwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Kigoma, Tabora, Katavi, Rukwa, Mbeya, Songwe, Iringa na Njombe.

Post a Comment

0 Comments