Utabiri wa hali ya hewa Novemba 17, 2020 'MVUA KUBWA'

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 17, 2020 unawasilishwa na mchambuzi Noel Mlay kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).
NGALIZO
Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), mvua kubwa inatarajiwa kwa baadhi ya maeneo ya mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Kigoma, Katavi, Tabora, Rukwa, Mbeya, Songwe, Singida na Njombe.

Post a Comment

0 Comments