Utabiri wa hali ya hewa Novemba 21, 2020

 Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Novemba 21, 2020 unaoletwa na mchambuzi Ramadhani Omary kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).Vipindi vya mvua vinatarajiwa kuendelea katika maeneo mengi ya nchi.

Post a Comment

0 Comments